Wawakilishi wa Tanzania Bara kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati Azam FC na Young Africans wamepangwa kundi B na C.

Hiyo imefahamika baada ya Baraza la Vyama Vya Soka Afrika Mashariki na Kati *CECAFA* kupanga makundi ya michuano hiyo itakayofanyika mwanzoni mwa mwezi Agosti jijini Dar es salaam.

KMKM ambao ni wawakilishi wa Zanzibar wamepangwa kundi A la michuano hiyo na timu za Uganda na Burundi.

Kundi A
1.KCCA (Uganda)
2.Le Messanger Ngozi FC (Burundi)
3.KMKM (Zanzibar)

Kundi B
1.Azam FC (Tanzania Bara)  2.Tusker FC (Kenya)  3.Atlabara FC (Sudan Kusini)

Kundi C
1.Yanga SC (Tanzania Bara)  2.Express FC (Uganda)  3.Nyassa Big Bullets (Malawi)

Kundi lipi ni kitonga kwa timubza Tanzania A,B au C?.

Habari kubwa kwenye magazeti leo, Julai 28, 2021
Hizi hapa sababu za makato ya miamala