Mwenyekiti wa klabu ya Yanga ametangaza kuwavua uanachama wajumbe watatu wa kamati tendaji kuanzia leo kwa kosa LA kwenda kinyume na taratibu za uongozi wa klabu.waliovuliwa uanachama ni Ayubu nyenzi‬ , Salum mkemi‬ na ‪‎Salum abdalah.

Ubingwa Raha Cheki Lecister City Walivyoenda Mazoezini Jana
Jipu Lanukia Dawasco