Taarifa kutoka Ruvu, zinasema asubuhi ya leo Machi 28, 2024 imetokea ajali iliyohusisha bus la Kampuni ya Sauli lenye namba za usajili T 668 DTF, Basi la Kampuni ya Newforce lenye usajili T 175 DZU (Golden deer) na Lori la Mafuta.

Ajali hiyo inadaiwa kutokea baada ya Basi la Sauli kuligonga nyuma Lori la Mafuta na Basi Golden Deer kugonga Basi ka sauli kwa nyuma. Taarifa zaidi zitafuata mara baada ya Kumpata Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani.

MALIMWENGU: Pande za mbili za Typhoid Mary - maradhi, vifo
Simulizi: Karibia nijiue kisa masomo ya Chuo Kikuu