Tumepokea taarifa za ajali ya gari ya aina ya Lori lililokuwa limebeba Saruji kuwa limeyagonga Magari madogo mawili, katika eneo la Wazo, Tegeta jijini Dar es Salaam, hii leo Novemba 11, 2022.

Picha za ajali iliyotokea Wazo, Tegeta jijini Dar es Salaam. Picha ya JamiiForums.

Ajali ya Tegeta – Wazo.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, wamesema ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi na inasemekana kuna vifo kadhaa na majeruhi, na Dar24 inafuatilia Habari hizo ili kukuletea taarifa za kina.

Youssoufa Moukoko, Gotze waitwa Ujerumani
Wafanyakazi wanza mgomo shinikizo nyongeza ya mishahara