Kiungo nyota wa Juventus, Paul Pogba ameamua kuonyesha majonzi yake kutokana na lile shambulizi magaidi la Paris.

Pogba aliamua kuombeleza kwa kuvaa viatu aina ya Nike vyenye rangi za bendera ya Ufaransa.

Alifanya hivyo wakati Juventus ilipoivaa Man City katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushinda kwa bao 1-0.
Wiki chache zilizopita, magaidi walifanya mashambulizi katika sehemu mbalimbali za jiji la Paris na kuua zaidi ya watu 120.

CCM Wazungumzia Taarifa Kuwa Wamekubali Maalim Seif Aapishwe Kuwa Rais Wa Zanzibar
Watatu Watajwa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Dunia 2015