Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameliagiza Jeshi la Polisi kuchukua hatua kali dhidi ya wahalifu wakiwamo majambazi pindi wanapowakamata.

Makonda amesema hayo wakati wa kuaga miili ya askari watatu kati ya wanne wa Jeshi la Polisi waliouawa jijini Dar es Salaam, Pia aliwataka watu wa Haki za Binadamu kujitikeza na kulaani kitendo hicho. Bofya hapa kumsikiliza Paul Makonda.

Jaji Warioba amjibu Kingunge kuhusu UKUTA, “Hili sio tatizo la mtu mmoja”
Breaking News: Polisi wamaliza kazi Mkuranga, yawazima Majambazi