Mmiliki wa Mavin Records, Don Jazzy ametangaza kuacha muziki kama msanii wa kuimba kuanzia mwaka 2016 na kubaki kuwa mtayarishaji wa ngoma kali.

Don Jazzy ambaye amehusika kung’arisha nyota za wasanii wakubwa kama D’Banj na Tiwa Savage ameeleza uamuzi huo kupitia akaunti yake ya Twiteer.

Uamuzi huo umewashtuma mashabiki kwa kuzingatia kuwa sio zaidi ya miaka miwili tangu Don Jazzy aingie rasmi kwenye uimbaji na kuonekana akitoa ngoma zake kwa ajili ya biashara.

Mvutano kati ya Mr. Blue na Diamond kuhusu Jina 'Simba' wazua Gumzo
Cristiano Ronaldo Kutundika Viatu vya Soka Akiwa Real Madrid