Fahamu yote yaliyojiri katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 20, 2019. Hapa unapata habari zote zilizopewa uzito katika kurasa za mbele, kurasa za nyuma za habari za michezo na burudani.

Video: Mkuu wa mkoa Mororgoro katika tanuru la moto, Mjadala mzito kura polisi kabla uchaguzi
Majaliwa asisitiza nchi za SADC kuwekeza kwenye TEHAMA