10.Juan Mata – Manchester United

Juan Mata  amefunga magoli 3 na kutoa pasi mbili za magoli mwezi uliopita.

9.Brendan Galloway – Everton FC

8.Kevin De Bruyne – Manchester City

Mapaka sasa De Bruyne ana magoli 3 na pasi moja ya goli katika michezo mitano aliyocheza.

7.Toby Alderweireld – Tottenham Hotspurs

6.David de Gea – Manchester United

5.Cheikhou Kouyate – West Ham

4.Wes Hoolahan – Norwich

3.Dimitri Payet – West Ham

2.Jamie Vardy – Leicester City

1.Anthony Martial – Manchester United

Tayari mapaka sasa Martial ana magoli matatu na kutoa pasi moja ya goli. Alisajiliwa siku za mwisho kabisa katika dirisha la usajili kwa ada ya pauni milioni 46. Martial ni raia wa Ufaransa.

Stars Yajiweka Sawa, Yaitandika Malawi
Zaidi Ya Milioni 900 Zalipwa Kwa Kazi ‘Hewa’ Za Kandarasi