Msanii wa muziki wa kizazi kipya K light ameachia ngoma mpya yenye jina la ‘criminal’.

Katika ngoma hiyo K light amewashirikisha Mr Blue pamoja na Country boy.

Bonyeza link hapa chini kuitazama ngoma hiyo.

Magufuli: Abood umeua viwanda
Bwalya: Nitalipa kisasi

Comments

comments