Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini, David Kafulila amejivua uanachama wa Chadema kwa madai kuwa upinzani hauwezi kuendesha vita dhidi ya ufisadi.

Amemema kuwa vyama vya upinzani havina uwezo wa kupambana na ufisadi kwa vitendo, hivyo haoni haja ya kuendelea kuwa katika vyama hivyo kwakuwa adhma yake haitatimia ya kutokomeza rushwa nchini.

JK akubali kugawa shamba lake
Msibadili tukio la Lissu kuwa mtaji wa siasa- Nchemba