Fuatilia hapa Matangazo ya moja kwa moja yanayojiri Bungeni, katika kikao cha kwanza cha mkutano wa 16 wa Bunge la 11 Jijini Dodoma ulioanza leo Septemba 3, 2019.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mrithi wa kiti cha Tundu Lissu anaapishwa na kuanza kazi rasmi…, Bofya hapa kutazama

Mrithi wa Lissu aapishwa Bungeni kwa kishindo, auliza swali la kwanza, Ndugai atoa neno
Video: JPM awapa meno watendaji kata, Kesi ya Lissu pasua kichwa