Tazama hapa moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar es salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwaapisha Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wa Wizara mbalimbali na Wakuu wa Mikoa pamoja na mabalozi aliowateua jana Oktoba 26, 2017.

 

Shahidi: Tuliahidiwa milioni 17 kila mmoja kumuua Msuya
Dkt. Kigwangallah apiga marufuku kamata kamata Pori Tengefu