Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli yupo mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ambapo leo Oktoba 30, 2017 anaongoza sherehe za ufunguzi wa daraja la waenda kwa miguu la Furahisha wilayani Ilemela, Mwanza.

Bofya hapa kufuatilia moja kwa mojakutoka Mwanza muda huu

Wageni wa La Liga waishangaza Real Madrid
Afya ya Lissu yaendelea kuimarika