Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda leo Disemba 18,2019, ameongozana na kamati ya maafa ya mkoa huo kutembelea maeneo ambayo yameathiriwa na mvua iliyonyesha jana na kusababisha maafa huku akitoa tahadhari kuwa kunamuda mafuriko hutokea kwasababu ya tabia za kutupa uchafu mitaroni.

Licha ya kutoa pole, Makonda amesisitiza kuwa jamii isipoacha tabia hizo kuna siku itanyesha mvua ya siku tano na watu wengi watakosa makazi…, Bofya hapa kutazama.

Mbowe, Lissu waibuka kidedea kwenye Uchaguzi Chadema
Mpango wa kumshtaki Trump wasukwa upya