Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mbunge wa Muheza Hamis Mohamed Mwinjuma ‘MwanaFA’ kuwa Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Mwana FA anachukua nafasi hiyo akimrithi Pauline Philipo Gekul ambaye amehamishiwa Wizara ya Katiba na Sheria huku akimhamisha Ridhiwani Jakaya Kikwete kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwenda kuwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.

Aidha Rais Samia pia amewateua, kuwabadilishia nafasi na kuwatengua baadhi ya Mawaziri, na Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo.

Panga pangua ya Rais Samia
Majina 812 program BBT-YIA hadharani