Michezo Pedro: Nimefurahi Sana Kufika Hapa 8 years ago Chelsea wamethibitisha kukamilisha uhamisho wa Pedro kutoka Barcelona. Akizungumza na tovuti ya Chelsea, Pedro amesema: “nimefurahi sana kufika hapa. Nina hamu kubwa sana ya kuanza kuichezea Chelsea na niko hapa kuendelea kushinda makombe.” Malinzi: Tupo Tayari Kwa U17 2019 Mapenzi Ya Jokate Yawaunganisha Ali Kiba Na Ice Prince