Arsenal walijua kuwa watapa ushindi wa nguvu kama wakionyesha thamani ya soka lao uwanjani maneno hayo ameyasema kipa wa timu hiyo Petr Cech baada ya timu hiyo kufuzu hatua ya 16 katia ligi ya mabingwa baada ya kuitandika  3-0 Olympiakos.

Amesema kuwa timu hiyo ilikuwa ikitafuta ushindi huo na ilijua kama wakicheza wanavyojua na kushirikiana kama timu pamoja na juhudi binafsi za kila mchezaji lazima kungekuwa na mafanikio katika kikosi hicho.

“Ni ushindi mzuri kwetu sisi na timu yetu pamoja na mashabiki wetu wanao tutia hamasa kutikwa uwanjani,”amesema Cech.

Filamu Ya Simba Na Hassan Kessy Yafungua Ukurasa Mpya
Magufuli Aokoa Bilioni Mbili Za Semina Elekezi Kwa Mawaziri Wake