Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli na mke wake Janeth Magufuli wametimiza ahadi yao ya kuchangia shilingi milioni 25 kusapoti wajasiliamali wa Feri wilayani Ilala jijini Dar es salaam.

Ambapo Rais JPM ametoa shilingi milioni 20 na mkewe Janeth Magufuli ametoa shilingi milioni tano jana wakati wakifanya mazoezi.

Fedha hizo zimekabidhiwa kwa Mwenyekiti wa Wavuvi Wadogo Wadogo (UWAWAKI) Amir Amani na kiongozi wa kina mama, Ashura Seif Nanjonga.

Bi Sandra ataja baba wa kijacho chake
John Mikel Obi aomba kuachwa Super Eagles