Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma hii leo Machi 11, 2023.

Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Machi 11, 2023.

Dhahabu ya kinyemela yachukua uhai wa Wachimbaji saba
Uapisho: Dkt. Wilson Mahela aapa Ikulu Chamwino