Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Halfa ya kumuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, imefanyika hii leo Machi 11, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. Wilson Mahera Charles kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).

Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Dodoma
Latvia yakaribishwa nchini uwekezaji Kilimo, TEHAMA