Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kupokea ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) leo Machi 28, 2021 Ikulu, jijini Dodoma.

Zanzibar wafanya Uchaguzi mdogo jimbo la Pandani
Wizara ya Afya yatahadharisha kuhusu utapeli wa ajira