Mashabiki wa Manchester United wanamlaumu sana kocha LVG lakini mawazo yao ni tofauti kabisa na captain Wayne Rooney.

Wayne Rooney anasema kwamba kocha wao amepokea lawama nyingi sana msimu huu kuliko wachezaji, “Hadi sasa inachanganya sana akili kwa sisi kucheza chini ya kiwango. Manager amepokea lawama nyingi sana zaidi ya wachezaji. Wachezaji tupo uwanjani tuna nafasi kubwa ya kucheza na kutafuta nafasi za kufunga magoli lakini hatujafnya hivyo msimu huu kadri inavyotakiwa. Kocha amejaribu mambo mengi sana lakini mwisho wa siku majukumu ya mwisho yapo kwetu wachezaji ambao tupo uwanjani”.

Unadhani Wayne Rooney yupo sawa kwamba wachezaji wa Manchester United wastahili lawama kwa performance mbovu au ni kocha LVG?

Manny Pacquiao aomba radhi lakini aapa kufa na msimamo wake
Viingilio Vya Game Ya Simba Na Yanga Vyatangazwa