Staa wa Series maarufu ya ‘Teen Wolf, Charlie Carver ameamua kujilipua kwa kueleza hali yake ya kutokuwa mwanaume kamili!

Katika hali ambayo watazamaji wengi husasan kutoka Afrika hawakuitegemea kwa namna Staa huyo anavyoonekana kwenye series hiyo, Charlie Carver ametumia Instagram kueleza wazi kuwa yeye ni ‘shoga’, ikiwa ni mara ya kwanza kujitokeza.

Charlie ameelezea hatua hiyo kuwa ni uamuzi wake kutokana na kile alichokuwa akitamani kuwa tangu akiwa umri wa miaka 12.

Over time, this abstract ‘knowing’ grew and articulated itself through a painful gestation marked by feelings of despair and alienation, ending in a climax of saying three words out loud: ‘I am gay.’ I said them to myself at first, to see how they felt. They rang true, and I hated myself for them. I was twelve,” aliandika.

Hatuelewi bado ni shetani gani anahalalisha vitendo hivi taratibu katika dunia ya watu waliostaarabika lakini baadhi ya watu maarufu kutoka ughaibuni hivi sasa wanaonesha kuwa mstari wa mbele na kuhamasisha.

Picha ya Ronaldo akimshika mchumba wa Messi yazua gumzo, 'Messi hakupenda'
Serikali yawashukia wamiliki wa viwanda jijini Mwanza