Watendaji Wakuu wa Vituo mbalimbali vya Runinga vyenye leseni za Kitaifa, wamekutana katika Kikao kazi kilichoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini – TCRA.

Kikao hicho kimefanyika hii leo Februari 24, 2024 jijini kikilenga kujadili maboresho ya uwasilishwaji wa maudhui kupitia vituo vyao.

Aidha, kikao hicho pia kimeazimia kutoa maudhui yenye ubunifu yanayokuza maadili ya kitanzania na kuendana na Kanuni za Utangazaji, na zifuatazo ni picha za baadhi ya matukio wakati wa kikao hicho.

Young Africans: Tupo kamili, Tutapambana
TAWA yajadili shughuli za uhifadhi pori la akiba