Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa Mabatini uliopo Mlandizi Pwani, kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na kukosa baadhi ya sifa za kikanuni.

Ruvu Shooting ambayo ndio hutumia uwanja huo, imetakiwa kupendekeza jina la uwanja mwingine kati ya Uhuru ama Azam Complex vilivyopo jijini Dar es Salaam.

KEMSA yashtumiwa matumizi mabaya fedha za Covid-19
Wauguzi tumieni lugha nzuri

Comments

comments