Waziri wa Viwanda, Innocent Bashungwa, amenadi bidaa zinazo tengenezwa kwenye viwanda vya ndani ya nchi pamoja na wabunifu wazalendo wa Tanzania.

Hayo yamejiri alipokuwa anazindua maonesho ya ‘Mzalendo jasiri’ yaliyofanyika kwa siku tatu katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Mwalimu Nyerere,  yaliyokuwa na lengo la kuwainua wafanyabiashara wadogo hasa vijana,…Bofya hapa kutazama

Lil Ommy ashinda tuzo ya Mtangazaji Bora Afrika, Diamond, Nandy, Ray Vanny nao wabeba
Hawa 'Diamond pekee aliamini nitakuwa sawa nimechora Tattoo kumshukuru''