Mwanamuziki wa hip hop kutoka Afrika Kusini Refiloe Maele Phoolo maarufu kama Cassper Nyoest ameachia video mpya ya wimbo wake unaoitwa ‘Baby Girl’. Katika video hiyo yumo nyota wa muziki kutoka Tanzania Vanessa Mdee aliyeshirikishwa kama video vixen.

‘Baby Girl’ ni wimbo unaotoka kwenye albamu mpya ya Cassper iliyotoka tarehe tano mwezi Mei mwaka huu ambayo ni ya tatu kutoka kwa Cassper Nyovest inayoitwa Thuto.

Tazama video hiyo hapa chini;

Video: Huu si wakati wa kutupiana lawama- Mrisho Mpoto
Video: JB kuachana na uigizaji wa filamu