Naibu spika  Dr. Tulia Ackson ametangaza bungeni kuiagiza kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge kufanya uchunguzi wa kitendi cha Mbunge wa Mbeya mjiniJoseph MbilinyiSugu’ kudaiwa kuonyesha  kidole cha kati bungeni kitendo kinachoashiria matusi.

Jambo linaloombewa mwongozo linahusu maadili ya bunge, mwongozo huo unatokana kitendo cha mbunge kuonyesha kitendo chenye tafsiri ya matusi

Kutokana na maelezo hayo na masharti ya kanuni, naelekeza kamati ya haki, maadili na madaraka ya bunge ifanye uchunguzi kuhusu kitendo kinachodaiwa kufanywa na mheshimiwa Joseph Mbilinyi na kuchukua hatua stahiki‘ – Naibu spika Dr. Tulia

Wanafunzi St. Joseph waanza kuitesa TCU, Mahakama kuu yaridhia
Linah: Namzimia Sana Wizkid, Nikikuonesha Meseji hutoamini