Mke wa Kanye West, Kim Kardashian amepata nafasi ya kulifunika jarida maarufu la GQ lililobatizwa jina la ‘Love, Sex and Madness’ ikiwa ni mara ya kwanza kufanya hivyo.

Kim Kardashian amejibu maswali makali ya mapenzi yaliyoulizwa na Caity Weaver yaliyolenga kumtaka aeleza jinsi anavyomchanganya kimapenzi mumewe Kanye West anayeonekana kuwa rapa mkorofi lakini laini kwa mkewe.

Picha zilizochukuliwa kwenye tukio ni ‘tata’ zinazofaa kuangaliwa kwa siri katika nchi zenye maadili kama Tanzania na huenda zikawa picha ambazo zingekutana na rungu la BASATA mapema kama Kim K angekuwa na uraia wa Bongo kama Shishi.

Hii ni video ya tukio:

Justin Bieber aanzisha vita kali Instagram, ataka mashabiki wamsaidie
Waziri Mkuu Majaliwa ameitaka Mikoa yote iunde kamati ya Amani