Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa kwa ubora kiabisa amekusomea habari zote kubwa za leo Novemba 25, 2016 ikiwa pamoja na Magufuli awatia kitanzi Gavana, bosi wa TRA, Katibu wa Fedha. CUF wachapana mbele ya jaji.. #USIPITWE

GGM yapigwa faini ya milioni 10
Rais Lungu wa Zambia kutua nchini keshokutwa