Kampuni ya AAR Insurance leo imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda vifaa vya usafi vyenye thamani ya milioni 10 kama seehemu ya kuchangia utunzwaji wa mazingira katika jiji la Dar es salaam.

Akikabidhi vifaa hivyo kwa Mkuu wa Mkoa, Meneja mauzo wa AAR Insurance, Tabia Massudi amesema wameona jinsi jiji la Dar es salaam linavyoelekea kuwa jiji safi hivyo wamesema huo ni mwanzo kwani wataendelea kuuunga mkono juhudi za Rais. Hii hapa video:-

Picha: Ziara ya Waziri Mkuu Mkoani Rukwa
Video: Makonda atoa pole Jeshi la Polisi, Autaja mkakati huu kwa Wakazi wa dar