Baada ya Wabunge wa upinzani kuamua kutoka nje ya bunge kwa style ya kuziba midomo. Wkionyesha mwendelezo wa kutokuwa na imani na naibu spika Dk. Tulia Ackson
Hii ikiwa ni mara ya tatu mfululizo mara baada ya kutangaza kuwa hawatahudhuria vikao vyote vinavyoongozwa na Dkt Tulia.
Wakiwa nje, Mbunge wa Vunjo (NCCR-Mageuzi), James Mbatia baada ya kutoka bungeni kwa staili ya aina yake akaongea haya
“Hii ni ishara ya kuonyesha hasira zetu, ni ishara yakuonyesha hatutokubali, ni ishara ya kuonyesha kwamba wakituzima midomo humu ndani nje kwa watanzania hawatatuzima midomo” –Â James Mbatia
Wabunge Upinzani watoka Bungeni wakiwa wamejifunga plasta mdomoniÂ