Mwenyekiti wa NCCR mageuzi, James mbatia amesema mazoezi ya wazi ya jeshi la polisi yana athari kubwa kwa jamii na kusema kwamba mpaka sasa wananchi wana hofu kubwa.
”Hakuna jeshi lolote duniani linalofanya mazoezi barabarani hadharani” – Mbatia.
Tazama video hapa #USIPITWE