Mchekeshaji na muigizaji, Steve Nyerere ametangaza nia ya kugombea Ubunge katika jimbo la Iringa Mjini kupitia CCM, ambalo kwa sasa lipo chini ya Mchungaji Peter Msigwa wa CHADEMA anayegombea Urais.

Steve ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2020, ambapo amsema yeye ndiye atakuwa mbunge mfupi na machachari kuliko wote huku akibainisha vitisho anavyo vipata.

“Mimi ndiyo Mbunge wa Iringa labda itokee niseme sitaki, nakwenda kurudisha jimbo letu, nawashukuru wanaonitukana na kunitishia kuniua maana wanazidi kunipa nguvu” amesema Steve Nyerere…Bofya hapa kutazama

Young Africans waingia kambini Dar
Jaji mkuu achambua uhuru wa Mahakama