Umoja wa Mataifa umesema kuwa umesikitishwa na tukio la kushambuliwa kwa wanajeshi wa JWTZ waliokuwa wakilinda amani nchini DRC.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Operesheni za Amani wa UN, Jean Pierre wakati wa kuaga miili ya wanajeshi hao jijini Dar es salaam, ambapo amesema kitendo cha kushambuliwa kwa wanajeshi hao waliokuwa wakilinda amani hakikubaliki.

Magazeti ya Tanzania leo Desemba 15, 2017
African Lyon kupimana na mnyama Simba