Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika vikao vya bunge vinavyoendelea mjini Dodoma baada ya wabunge wote wa upinzani kutoka tena leo nje ya bunge wakiwa wamejifunga plasta midomoni mwao mara baada ya kipindi cha maswali na majibu kuanza.

Wabunge hao wametoka baada tu ya kusomwa dua ya kufungua Bunge majira ya saa 3:00 asubuhi.

Mohammed Ibrahim, Muzamir Yasin Watoa Ahadi Kwa Wanamsimbazi
Wajapan waandamana kufukuza jeshi la Marekani