Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amezitaka Halmashauri zote nchini kuweka mikakati ya kukusanya mapato yake na kufungua mianya mingi ya kuingiza mapato ndani ya Halmashauri.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo wakati akizungumza na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Temeke Jijini Dar es salaam. Tazama hapa

MO: Nipo Tayari Kuwekeza Bilion 20 Msimbazi
Video: 'Top10' ya ndege kubwa zaidi Duniani