Msanii wa Nigeria, Yemi Alade amesema kuwa amepitia magumu katika safari yake ya muziki hali iliyopelekea kufanya shows 300 bure.

Yemi ameniambia Beat Fm ya Nigeria kuwa wakati anatafuta njia hakuwa hata na pesa ya kulipia studio na alitaka kipaji chake kionekane, hivyo alilazimika kupiga shows hizo bure.

“Haikuwa rahisi, nilifanya shows zaidi ya 300 wakati huo. Sikuwa hata na pesa ya kulipia muda wa studio, “alisema Mkali wa ‘Johnny’.

 

Picha: Kanye West Na Kim Kardashian Wapata Mtoto Wa Pili, Waonesha Picha
Ufafanuzi Kuhusu Serena Hotel Kufungwa Kwa Kukwepa Kodi