Uongozi wa Young Africans SC umelaani kitendo cha baadhi ya mashabiki wake mkoani Morogoro waliowafanyia fujo baadhi ya mashabiki wa Simba SC waliojitokeza katika mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar jana, Jumapili Septemba 27.

Katika taarifa yao kwa umma, Young Africans SC wameviomba vyombo vya ulinzi na usalama kufanya uchunguzi wa tukio hilo lisilo la kiungwana pamoja na kuwachukulia hatua wahusika wote katika sakata hilo.

Tshabalala ataja kilichoiokoa Gwambia FC
Lissu atakiwa kufika mbele ya kamati ya maadili NEC

Comments

comments