Fuatilia hapa matangazo ya moja kwa moja kutoka Bungeni Dodoma, katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 15, 2017 ambapo leo waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anajibu maswali ya papo kwa papo kutoka kwa Wabunge kisha kipindi cha kawaida cha maswali na majibu kitaendelea

Trump achunguzwa tena, adaiwa kuzuia sheria
Video: Siri yafichuka Ikulu, Acacia yasalimu amri