Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro amethibitisha kutokea kwa vifo vya maaskari watatu katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi katika majibizano ya risasi na mtu mmo asiyejulikana akiwa ameshika silaha na kufyatua hewani.

Hali hiyo imezua taharuki na sintofahamu baada ya mtu huyo kufunga barabara kwa kufyatua risasi hewani katika eneo la Daraja la Salenda Jijini Dar es Salaam.

Aidha mtu huyo alikuwa akiwaelekezea silaha hiyo raia rai na watumiaji wa barabara hiyo karibu na ubalozi wa Ufaransa Nchini Tanzania

Hata hivyo Polisi wamefanikiwa kumthibiti mtu huyo nakuwawa katika majibizano ya Risasi na Jeshi la Polisi.

Rais Mwinyi akutana na mabalozi wa nchi mbalimbali
Rais Samia afungua kikao kazi cha tathmini ya mwaka mmoja jeshil la polisi