Chama cha soka nchini England (FA), kimetangaza ratiba ya michuano ya kombe la chama hicho FA CUP ambayo inaingia kwenye mzunguuko wa nne.

Magwiji wa kaskazini mwa jijini London Arsenal, wamepangwa kucheza ugenini kwa kumsubiri mshindi wa mchezo wa marudio kati ya Southampton dhidi ya Norwich City.

The Saints walishindwa kufurukuta katika mchezo wa mkondo wa kwanza dhidi ya Norwich City, kufuatia bao la kusawazisha lililofungwana Steven Naismith katika dakika ya 90.

Southampton walikua wakiongoza mabao mawili kwa moja na kila mmoja aliyefuatilia mchezo huo, alikua anaamini huenda wangefanikiwa kusonga mbele.

Ratiba kamili mzunguuko wanne wa FA Cup.

Derby v Leicester

Man United v Wigan

Palace/Bolton v Man City

Tottenham Hotspur v Wycombe Wanderers

Derby County v Leicester City

Oxford United v Newcastle United/Birmingham City

AFC Wimbledon/Sutton United v Cambridge United/Leeds United

Plymouth Argyle/Liverpool v Wolverhampton Wanderers

Lincoln City/Ipswich Town v Brighton & Hove Albion

Chelsea v Brentford

Manchester United v Wigan Athletic

Millwall v Watford

Rochdale v Huddersfield Town

Burnley/Sunderland v Fleetwood Town/Bristol City

Blackburn Rovers v Barnsley/Blackpool

Fulham v Hull City

Middlesbrough v Accrington Stanley

Crystal Palace/Bolton v Manchester City

Michezo ya mzunguuko wanne wa FA Cup imepangwa kuchezwa kati ya Januari 27-30.

Trump kufanya uteuzi kwa upendeleo
Ronaldo Mchezaji Bora Wa FIFA 2016