Tunakukaribisha kusoma habari zilizopewa nafasi kwenye kurasa za mbele na kurasa za nyuma za magazeti ya Tanzania, Leo, Agosti 6, 2020.

Usikose kuangalia magazeti yakisomwa kupitia YouTube ya Dar24 Media muda mfupi ujao.

Rais Magufuli achukua fomu kugombea tena urais
Michuano ya kimataifa kumpeleka Kichuya Namungo FC