“Nimefeli. Tukubali hivyo.”, hayo ni maneno ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hali ya kukubali ukweli baada ya kuona kuwa uchumi wa Tanzania hautaweza kusimama kwa siasa ya kijamaa na kuwa hataweza kuvumilia kuendesha nchi kwa siasa nyingine ambazo yeye hakuwa na imani nazo.

Hivyo, kwa hiari yake mwenyewe aliamua kustaafu nafasi ya urais kuanzia uchaguzi wa mwaka 1985 na kumwachia usukani Ali Hassan Mwinyi, aliyetawala kwa siasa ya uchumi wa soko huria.

Mwalimu Nyerere alisema maneno hayo ya kukubali kushindwa katika tafrija ya kumwaga

Mfumo Wa Vincenzo Montella Kumkimbiza Bacca
Serengeti kunufaika na uzinduzi wa safari mpya za Precision Air