Kwanini hospitali ya Taifa imeitwa Muhimbili?, Jina la Muhimbili limetokana na neno la Kizaramo “Mibili” likimaanisha kiungo cha mtoto tumboni na mama yake (Plasenta).

Hospitali hiyo ilipoanzishwa Wazaramo walisema “hapo ndipo wanawake wanapoenda kuacha mibili yao”, moja kwa moja neno Muhimbili likazaliwa na kudumu hadi sasa hospitali hiyo ambayo ni ya Taifa inaitwa Hospitali ya Muhimbili.

Hospitali ya Muhimbili ilianzishwa rasmi mwaka 1963 ndani ya hospitali iliyoitwa Princess Margaret Hospital jina lililofuatia kutoka Hospitali ya Sewa Hadji

Museveni: Ushindi wa Trump ni matokeo ya laana ya Afrika kwa Marekani
AVB Ajipa Matumaini Ya Kumnasa Mikel Obi