Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo Septemba 28 ameshiriki maadhimisho ya miaka 50 na kongamano la Wachungaji na Maaskofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania, lakini pia ibada ya kushukuru kwa miaka 176 ya uinjilishaji na kupanda kanisa hilo Tanzania.

Rais Samia atuma Salamu za rambirambi:Kifo Cha Ole Nasha
Habari kubwa kwenye magazeti leo, Septemba 28, 2021