Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyampori Tanzania – TAWA, Machi 7, 2023 imepokea meli ya kimataifa ya utalii, iitwayo Coral Geographer kutoka nchini Australia.

Meli hiyo yenye hadhi ya nyota tano, imebeba watalii 120 ambao watatembelea Hifadhi ya Urithi wa Utamaduni wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara, na kufanya utalii wa malikale pamoja na utalii wa fukwe.

Rais anataka mabadiliko sekta ya Mifugo: Majaliwa
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Machi 8, 2023