


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara katika Mji wa Kibiti akiwa katika ziara ya wilaya hiyo Septemba 28, 2016.
Wananchi wa Kibiti wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowahutubia Septemba 28, 2016 licha ya mvua kubwa iliyonyesha.