Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi, ambapo amemteua Yamungu Kayandabila kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo NDC

Matumaini mapya kwa wachimbaji wadogo
Hitimana aomba msamaha Mtibwa Sugar